Kikuyu.com    KIKUYU.COM    Forums  Hop To Forum Categories  Entertainment/Hobbies/Interests  Hop To Forums  Music    Niliambiwa na babu yangu
Go
New
Find
Notify
Tools
Reply
  
-star Rating Rate It!  Login/Join 
Silver Member
Posted
zubaazubaa utampata mwana si wako ... mi nashangaa ... "

natafuta hiyo song ? nin nani aliyeiimba ?
Mimi ni mtourist (mgoso) tu, na nilisikia hiyo musiki nzuri wakati nilipokuwa huko Kenya. Ni juu ya watu ... mbona watu wanafanya kazi iliyofaa kufanywa wakati wa mchana wakati wa usiku.

nimemwuliza rafiki wangu mkenya mara nyingi. Lakini hawezi kuremember. Anakumbuka lyrics tu, lakini si jina la wimbaji.


Sonnenschein, Glueck allein
 
Posts: 5 | Location: ujeru | Registered: 08 March 2008Reply With QuoteReport This Post
Silver Member
Picture of wa njihia
Posted Hide Post
hi,
the lovely song is called RIZIKI and has been done by the group JAMNAZI
enjoyyyy.....
 
Posts: 2 | Location: kawangware nyairobi | Registered: 12 December 2007Reply With QuoteReport This Post
Silver Member
Posted Hide Post
ahsante sana
nilipata , na nikafurahi Smiler

siku njema, salamu nyingi na mapenzi tele
 
Posts: 5 | Location: ujeru | Registered: 08 March 2008Reply With QuoteReport This Post
Silver Member
Picture of Maria.
Posted Hide Post
 
Posts: 388 | Location: Milky.Way. | Registered: 17 January 2008Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Muthoni na Jayson"
Platinum Member
Posted Hide Post
quote:
Originally posted by chikingi:
ahsante sana
nilipata , na nikafurahi Smiler

siku njema, salamu nyingi na mapenzi tele

Chikingi,
Kiswahili chako ni kizuri sana. Ulikisomea hapa nchini Kenya ama huko ng'ambo uliko?


"mûthuri aikarîire njûng'wa onaga kuraya kûrî kîhîî kîhaicîte mûtî"
 
Posts: 2932 | Registered: 04 May 2005Reply With QuoteReport This Post
Silver Member
Posted Hide Post
Sasa Ngûnjiri®

ahsante kwa kunipongeza kwa kiswahili changu. itanitia hima kuendelea kujifunza kwa bidii.
Mimi hufika Kenya kwa likizo tu kwa wiki tatu ama nne kila mwaka. Tena napenda musiki ya Kenya sana kama genge .. inanibamba videadly Smiler
bambika bambika na hii ngoma noma ....
naisikia kila siku na vile vile pia najifundisha lugha
 
Posts: 5 | Location: ujeru | Registered: 08 March 2008Reply With QuoteReport This Post
  Powered by Social Strata  
 

Kikuyu.com    KIKUYU.COM    Forums  Hop To Forum Categories  Entertainment/Hobbies/Interests  Hop To Forums  Music    Niliambiwa na babu yangu