Riu andu aria maracokire kameme kuma kuria maroimire, please matigaturehere maundu macio mararagia kuu marari....amwe mararagia waga thoni biu!!!!!na andu makomplain ati ni maraina maundu ma thoni makarumana na makaheana namba yaku on air ukahurirwo thimu ni andu strange magikurumaga. riu tondu nitwathamire kuu maari matigaturehere maundu macio mararagia kuu.
Originally posted by sajini: Wathiomo, Hebu fafanua zaidi juu hatunyiti. Kwani nini kilitendeka?
Iko watu wawili walitoka kameme miaka iiri mithitu wakaenda pahala ingine, halafu last week wamerudi kameme. wastuletee ile uchafu na nonsense walikuwa wanaongea hio pahali ingine. kameme ni kari kalcha yako ya ugima na decency. the last thing we want to hear on air is vulgar talk .
Ooo, nimekushika sasa. Sijasikiliza kameme kwa muda. Nilijaribu wiki tatu zilizopita na nikasikia mchanganyiko wa kiingersa na kikuyu sana. Sijui kwa nini hawatumii Kiswahili zaidi.
Kama hao majamaa wanaleta mambo x-rated katika baraza la umma, basi inabidi wawekewe vikwazo. Ni lazima pia kuwaandikia wanaomiliki kameme kwamba kama hawataki wasikiliza wahamie kwingine, basi ni lazima wawaonye watangazaji hao wachunge ulimi wao
Emotions are the greatest enemy of rational arguments
Posts: 2905 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005
ahsante vile umenyita. Ni turageria uria twahota using all means possible. Naongea kutoka xperience cos one time I suffered verbal abuse (on air) cos of complaining that the language iko na harufu imekaribia sewage. Ndirerwo ati the offensive kipindi is being introduced on Sunday night (afta 10 pm news). hebu tuzikize then we make our decision. maragia maundu mangi ukarigwo ukwihitha ku juu ya watoto, then ukicomplain unaambiwa ati tune off their station...then they have come to invade my station!!!!unacceptable.
Rose Kimotho, can you see this thread. Infact ukitune Kameme asubuhi in the car you wonder whether the wavelengths zimebadilishwa.unapata.....wa ......... Then jioni ukienda nyumbani unapata .........na.......and the 2 are very irritating!!!! By the way how can you replace Njoki wa Mburu, with all her calmness and maturity with ....... na .........? Ndiraigua ndi muhitirie muno.
eeeh bwana. hata mimi nashangaa. Did anybody listen on Sunday night....the one where a certain one man guitar was plying his trade....ndigukira until somebody listens to me.