mwenda wazimu mmoja hapa mjini mombasa aliye na akaunti ya benki amenistaajabisha pale nilipo mpata kwa benki akiweka pato lake la siku, mdaku wangu alinielezea kuwa chizi yuyo ana kitita kikumbwa sana kwenye akaunti yake maana yeye huweka pesa kila siku,yasemekana amekuwa akiweka pesa kwa zaindi ya miaka kumi.
jamaa mmoja ambaye ni mtumizi wa mandawa ya kulevya alifanya watu waangue kicheko pale alipokuwa akisaindiwa na mweznake asikamatwe na polisi. jamaa huyo alikuwa amelewa na mandawa kiasi yakutojiweza ,alikuwa amelegea mwili wote na kutembea ilikuwa ni kwa shinda ndipo mwenzake akaona polisi wakinja wamewalenga . alipo tajiwa [mwera]polisi ,akauliza mwenzake,wako right ama left ili anjue ataenda upande gani maana pia macho yalikuwa hayaoni vizuri
This message has been edited. Last edited by: wagithuri***,
mwenda wazimu mmoja hapa mjini mombasa aliye na akaunti ya benki amenistaajabisha pale nilipo mpata kwa benki akiweka pato lake la siku, mdaku wangu alinielezea kuwa chizi yuyo ana kitita kikumbwa sana kwenye akaunti yake maana yeye huweka pesa kila siku,yasemekana amekuwa akiweka pesa kwa zaindi ya miaka kumi.
he he he he wagithuri wacha zako wewe. basi mimi naona yule bwana sio mwenda wazimu hata!! hofu yangu ni kama ni kweli yule bwana ana kichaa,basi walaghai wapo na ndio watasaidika na pesa ya huyu chizi.
he he he eti wako kushoto ama kuria? he he he he hapo umeniweza babu
CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
Posts: 3729 | Location: Kiamatawa | Registered: 19 May 2006
ama kweli ndunia haishi vituko,mzee mmoja amefanya mtaa wa king'orani mombasa ujae mshangao pale alipo patikana akiwa katika pita pita akiwa amevaa chumbi,[ngotha] kichWani,baanda yakuona watu wana mcheka ndio akaingiWa na hamu ya kutaka kujua ninini kinaWafanya watu wamshangae,ndipo msamaria mwema akamueleza kuwa amevaa chumbi kicHwani,alipoivua hakuamini macho yaake ,na hapo hapo akaanza kuapa akisema ,walai sitachonga milaa tena,hii stimu imeniaibisha hivi,ndipo ikagundulika kuwa mzee alikuwa amechonga sana na kwa sababu ya steam na joto akavua kofia na kostiumu,alipoishiwa na big G, NDIPO ALIPO CHUKUWA CHUMBI BANDALA YA KOFIA LO!
jamaa mmja alijitolea kuhakikisha wenda wazimu wote wamenyolewa mjini mombasa, jamaa huyo aliweza kuwapa kibarua vinjana sita ilikutekeleza kazi hiyo na kuwaahindi shilingi mia mbili kwa kila kichwa ambacho wangekinyoa, vinjana hao walio kuwa na hamaki walinjandiriana kuhusu binu ambayo wangeitumia kuwashika na kuwanyoa wenda wazimu hao
na wakakumbaliana kuwa itabindi watumie kila binu hata kama ni kuwapa kichapo cha kinyama bora mapeni yapatikane walipokuwa wakwisha kuwanyoa ma chiizi sita wasamba aliweza kujitokeza akiwa hana hambari na yaliyo kuwa yakiendelea ,alikuwa mwenye kimo kilefu na mwenya kutisha pia alionekna kana kwamba aliwahi kuinua vyuma,gafra wale vinjana wakamvamia na kumlaza chini ,walipokuwa wanaanza kumushughulikia ,yule chiizi akatoa sauti kama ya wanakarate na kuinuka huku akiwa ame washika vinjana wawili shingoni,mala akawapindua nakuwagonganisha vichwa akitoa mlio wa kijapani wa karate wenzao kuona hivyo wakala kona wote! yule mwenda wazimu akakimbizana nao kwa bahati wakaponyoka wote .