Silver Member

| Huo unaweza kuwa mwelekeo wa manufaa nchini Kenya Sajini. |
| | |
"Muru wa Njeri" Silver Member

| Najivunia sana swahili ni lugha tamu. Hakika kaka zetu watanzania wamepiga hatua ya kuimalisha lugha na kuipa hadhi. Wenzetu Waganda hutharao hi luga kama iliyo tumiwa na wenajeshi wanyayazaji wa rais wa hapo awali Ba Idi Amin. Kwa hivo inakuwa hawataki kuongea hii lugha na hata mashule hazina waalimu wa lugha. Wacongo,marundi na wanyarwanda wanapenda swahili hata wana swahili ya kicongo. Nipo hapa Jamuhuri ya Tz niko na fulsa ya kuimalisha lugha yangu ya swahili. kuna misemo kweli na misamiati. Hivi leo nimeogeza musamiati 'Pembejeo' Pembejeo za ukulima= farm imputs kwa kimombo. Lugha iendelee! |
| | | Posts: 984 | Location: kwa njenga | Registered: 08 March 2008 |  
IP
|
|
"Ithe wa Nyambura na Wambui" Platinum Member

| Hasa lugha hii imekuwa lugha rasmi ya Taifa. hatuna budi kuiinua na kuivusha ngazi ya juu ili ifikia upeo wake wa umaarufu. Atakayekidunisha Kiswahili atajilaumu mwenyewe. Katiba inasema lugha rasmi za Kenya ni Kiswahili na Kiingereza...si Kiingereza na Kiswahili. Wakenya raukeni!
Emotions are the greatest enemy of rational arguments
|
| | | Posts: 3209 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005 |  
IP
|
|
"Ithe wa Nyambura na Wambui" Platinum Member

| Jambo la dharura sasa ni kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia. Jambo hili litatoa nafasi nyingi za kazi kwa Wakenya kwani wageni wote watahitajika kukijua Kiswahili. Wataalamu wa Kiswahili watapata ajira ya kutafsiri na kufasiri nyaraka zilizoandikwa kwa Kiingereza. najivunia kuwa Mkenya! Wanafunzi wafundishwe kwa Kiswahili. Kutoka shule za msingi hadi Chuo Kikuu.
Emotions are the greatest enemy of rational arguments
|
| | | Posts: 3209 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005 |  
IP
|
|
"Ithe wa Nyambura na Wambui" Platinum Member

| Kitendawili .... tega..... Kipanga kapaa kutarazaki Kabaini kuku na wanawe wakichakuta kusaka jongoo Kufumba na kufumbua, kifaranga 'menyakuliwa Kuku msibani, analaani na kuomboleza Kipanga shereheni, anahimidi kwa kupata riziki Kutoka enzini, mola apiga makofi kufurahia ruwaza kimu
Emotions are the greatest enemy of rational arguments
|
| | | Posts: 3209 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005 |  
IP
|
|
"Muru wa Njeri" Silver Member

| Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na udugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi. Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda. Natujenge taifa letu Ee ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono pamoja kazini Kila siku tuwe nashukrani. Najivunia Daima Dawama |
| | | Posts: 984 | Location: kwa njenga | Registered: 08 March 2008 |  
IP
|
|
Silver Member
| quote: panga kapaa kutara
On programs of past pioneers just like Deb's and all other instructors, is not old school at all. ---------------------------------- yoga teacher training classes |
| | | Posts: 1 | Location: 11224 Beacon Ave S, Seattle, WA 98178 | Registered: 17 March 2012 |  
IP
|
|