Originally posted by sajini:
quote:
Originally posted by Mbugua wa Wambui:
mwalimu naona kuzungumzia maswala haya.Kwanza nitaimba wimbo kusisitiza maoni yangu.....kahora mwarimu....niwoka muno
Mbugua wa Wambui
Mbona nilipowaambia mtongoe shairi hukuweza kukamilisha hata beti tatu. Sasa ndiyo sauti yako imerudi ama kumbukizi zako zilikuwa likizo? Naymaza kabisa!