Kikuyu.com    KIKUYU.COM    Forums  Hop To Forum Categories  General Discussions  Hop To Forums  Swahili Speakers    Mageuzi
Page 1 ... 10 11 12 13
Go
New
Find
Notify
Tools
Reply
  
Mageuzi
 Login/Join
 
"Ithe wa Alvin"
Silver Member
Picture of Mbugua wa Wambui
Posted Hide Post
wakanyugi,
sasa ati juu wewe ni ndali ya mwalimu na pia krifent unajifanya mwalimu! Mad Madndolo wewe,shandau! Mad Mad
quote:
Originally posted by Wakanyugî:
quote:
Asante wakanyugi, je kusema:

I have hicups?

Gaceri sina kwa uhakika lakini pengine twaweza kusema; "Mimi nina fanya kekevu"

Mwalimu huu mfano uko sawa kweli? Roll Eyes

Utarugaga egwatagia nja iina mahiga!
 
Posts: 902 | Location: nairobi wira:erondoreti kwa mami na baba | Registered: 05 May 2006Reply With QuoteReport This Post
"Nyina wa Hazel"
Gold Member
Picture of Wakanyugî
Posted Hide Post
Mbugua shadau Mad Red Face...sema haujui kiswahili kwa hivyo hauna la kusema isipokuwa kupayuka payuka. Kwa hakika debe tupu hupiga kelele.

Wafikiri kiranja aweza kuchaguliwa ndoro type?? Kiranja wa maana lazima awashughulikie wanafunzi wenzake pamoja na kuwaelimisha. Razzer

quote:
Originally posted by Mbugua wa Wambui:
wakanyugi,
sasa ati juu wewe ni ndali ya mwalimu na pia krifent unajifanya mwalimu! Mad Madndolo wewe,shandau! Mad Mad
quote:
Originally posted by Wakanyugî:
quote:
Asante wakanyugi, je kusema:

I have hicups?

Gaceri sina kwa uhakika lakini pengine twaweza kusema; "Mimi nina fanya kekevu"

Mwalimu huu mfano uko sawa kweli? Roll Eyes
 
Posts: 1581 | Location: Kiamatawa | Registered: 14 March 2007Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Nyambura na Wambui"
Platinum Member
Picture of sajini
Posted Hide Post
Wakanyugi,
Fanya kazi yako. Watanena, watachoka, na wataanguka mtihani. Aliye na masikio asikiye. Maneno yao hayawapimi yatokapo makanwani yao. Kazi yao kuropokwa tu. Atakaye msaada akuone...lakini usianze kuitisha 'tuition' Big Grin
Mimi pekee ndiye nitachukua hiyo...

Emotions are the greatest enemy of rational arguments
 
Posts: 3163 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005Reply With QuoteReport This Post
Silver Member
Picture of Gacheri
Posted Hide Post
we mwalimu unanioneanga sana,sitafagia hio kirasi hata ukiita mami.....

Kekevu kwangu inakaa nnjega lakini jilani sina hakika ninjega... Red Face Red Face

wikendi mzuri na baraka za Mungu Baba, mpaka wiki inauka...ni wenu Gacheri mrata nikiwaaga kwahelini..
 
Posts: 316 | Location: Planet Earth | Registered: 25 May 2007Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Njeri"
Platinum Member
Picture of kariúki wa kíhia
Posted Hide Post
Na huu mtihani kwani unapigwa chapa Somalia?

CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
 
Posts: 3729 | Location: Kiamatawa | Registered: 19 May 2006Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Alvin"
Silver Member
Picture of Mbugua wa Wambui
Posted Hide Post
Mwalimu amelegea sana tangu apate kipenzi chake wakanyus.
Mwalimu wimbo huu ukuendee wewe kwa njia ya kipekee(special dedication)umeimbwa na wa kioi:
Uyu muabokando,nonginya umunywo(kiranja) uyu ni wa ndaimono,no nginya ukurwo! Big Grin Big Grin Big Grin
quote:
Originally posted by kariúki wa kíhia:
Na huu mtihani kwani unapigwa chapa Somalia?

Utarugaga egwatagia nja iina mahiga!
 
Posts: 902 | Location: nairobi wira:erondoreti kwa mami na baba | Registered: 05 May 2006Reply With QuoteReport This Post
"Nyina wa Hazel"
Gold Member
Picture of Wakanyugî
Posted Hide Post
quote:
Uyu muabokando,nonginya umunywo(kiranja) uyu ni wa ndaimono,no nginya ukurwo!

Big Grin Big Grin..Mbugua...msijali mtihani utakuja hivi karibuni...Mwalimu amekuwa tu actif na mambo mengine ya kinyumbani....Big Grin
 
Posts: 1581 | Location: Kiamatawa | Registered: 14 March 2007Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Alvin"
Silver Member
Picture of Mbugua wa Wambui
Posted Hide Post
quote:
Originally posted by Wakanyugî:
quote:
Uyu muabokando,nonginya umunywo(kiranja) uyu ni wa ndaimono,no nginya ukurwo!

Big Grin Big Grin..Mbugua...msijali mtihani utakuja hivi karibuni...Mwalimu amekuwa tu actif na mambo mengine ya kinyumbani....Big Grin

key! Big Grin Big Grin

Utarugaga egwatagia nja iina mahiga!
 
Posts: 902 | Location: nairobi wira:erondoreti kwa mami na baba | Registered: 05 May 2006Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Nyambura na Wambui"
Platinum Member
Picture of sajini
Posted Hide Post
Naona kuna watu watalia machozi mtihani ukiletwa.

Leo wanajitia ujasiri.
Kifua mbele matako nyuma.
Mtihani ukija
Utasingizia nini.
Ole wako domo kaya
Asiyekuwa makini.
Machozi yatachiririka
Kichwa chako utajikuna
Na meno yako kusaga
Uso wako utaficha
Utasakamwa na kisonoko
hata kama sasa wajifanya
Mkakamavu kama mwamba

Emotions are the greatest enemy of rational arguments
 
Posts: 3163 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Njeri"
Platinum Member
Picture of kariúki wa kíhia
Posted Hide Post
quote:
Leo wanajitia ujasiri.
Kifua mbele matako nyuma.
Mtihani ukija
Utasingizia nini.
Ole wako domo kaya
Asiyekuwa makini.
Machozi yatachiririka
Kichwa chako utajikuna
Na meno yako kusaga
Uso wako utaficha
Utasakamwa na kisonoko
hata kama sasa wajifanya
Mkakamavu kama mwamba

Ahsanta sana Mwalimu kwa kuwasomea Wanafunzi Shairi langu. Shukran!

quote:
wakanyugi,
sasa ati juu wewe ni ndali ya mwalimu na pia krifent unajifanya mwalimu! ndolo wewe,shandau!
Big Grin Big Grin Mbugua. nina yako moja

CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
 
Posts: 3729 | Location: Kiamatawa | Registered: 19 May 2006Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Nyambura na Wambui"
Platinum Member
Picture of sajini
Posted Hide Post
quote:
Ahsanta sana Mwalimu kwa kuwasomea Wanafunzi Shairi langu. Shukran!

Naam wa Kihia,
Uliota ukiandika shairi hilo. Ndiyo sababu naona unasinzia. Sijui jozi nyingine itakuwa ipi.

Emotions are the greatest enemy of rational arguments
 
Posts: 3163 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005Reply With QuoteReport This Post
"Nyina wa Hazel"
Gold Member
Picture of Wakanyugî
Posted Hide Post
quote:
Originally posted by kariúki wa kíhia:
quote:
wakanyugi,
sasa ati juu wewe ni ndali ya mwalimu na pia krifent unajifanya mwalimu! ndolo wewe,shandau!
Big Grin Big Grin Mbugua. nina yako moja

Mwalimu waone Mbugua na Wakihia wanarandurana pombe kwa darasa..wapatie adhabu kali mno!!
 
Posts: 1581 | Location: Kiamatawa | Registered: 14 March 2007Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Njeri"
Platinum Member
Picture of kariúki wa kíhia
Posted Hide Post
nilimaanisha nina riwaya moja yake.mbofullo wewe!

CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
 
Posts: 3729 | Location: Kiamatawa | Registered: 19 May 2006Reply With QuoteReport This Post
"Ithe wa Nyambura na Wambui"
Platinum Member
Picture of sajini
Posted Hide Post
quote:
nilimaanisha nina riwaya moja yake.mbofullo wewe!
Wakanyugi,
Hebu mfafanulie mwanafunzi huyu tofauti kati ya shairi, riwaya, tamthilia, na sarakasi

Emotions are the greatest enemy of rational arguments
 
Posts: 3163 | Location: Neither here nor there | Registered: 03 May 2005Reply With QuoteReport This Post
  Powered by Social Strata Page 1 ... 10 11 12 13 
 
Kikuyu.com    KIKUYU.COM    Forums  Hop To Forum Categories  General Discussions  Hop To Forums  Swahili Speakers    Mageuzi