"Nyina wa Hazel" Gold Member

| Alalalala...Mwalimu angalia huyu mwanafunzi Wa Mugwanja ameanza Coup'e De tat....Ma ma ma Wa Mugwanja...urokorwo ni mwarimu Sajini...woka kugarura thirikari yake ogwo na itheru LOL |
| | |
"Nyina wa Hazel" Gold Member

| Ndiyo Hedimeni...hawajui vile Mwalimu Sajini yu mkali kama simba marara! Mwalimu ona kinara yualala fo fo fo ..mimi na Hedimeni ndiyo tuko ritho LOL.....ilhali mambo huku yamekwenda mrama....uzulu huyu krifenti Wa Kihia a.k.a Baba Njeri! |
| | |
"Nyina wa Hazel" Gold Member

| Ndiyo hedimeni....Atolewe kabisa!!!....hata hajalala....yuko busy na wasichana huko kwa "workshop"...nimemuona...hata tabia zake zimezoroteka ajabu!! |
| | |
"Nyina wa Hazel" Gold Member

| Mwalimu ndicho hicho kiboko...... |
| | |
"Ithe wa kipii" Silver Member

| quote: Originally posted by Wakabutha: Nyinyi wote mtapewa monito, juu ya kuongea kiswahili broken.......mujifaririre mno.
Niripewa monto kwa sambambu niriongea kiswahiri iriyokuwa na heavy MOTHER TONGUE INTERFERENCE (accent) na njikapatia wakanyugi kwa kuongea broken swahili arafu akapotesa. Ata kurufefti ariona nikimupatia. Wakanyus ni fery careress ngal (girl). |
| | |