Sehemu ya KwanzaVitendawili.1. Mwenye kufika amefika, lakini mjumbe bado hajarudi.........................
2. Babangu amanipa visu viwili kimoja nakitumia lakini cha pili siwezi kukitumia.................
3. Niliona mkufu njiani, lakini siwezi kuunyanyua ......................
4. Anatega huku akitambaa ........................
5. Anakula lakini hashibi......................
6. Atapanya mbegu nyingi lakini hazioti .................
7. Subiri kidogo, haraka ya nini? ...............
8. Ninapoitana 'baba', anaitika 'baba' .................
9. Kuku wetu hutagia mayai mkiani ...................
10. Bimkuu ananung'unika kwa kuchomwa...............
Sehemu BAndika kwa Kiswahili
1. 2/3........................
2. 3/4........................
3. 4/5........................
4. 3/6 .......................
5. 4/7........................
6. 7/8.......................
7. 5/9.......................
8. 2/10......................
9. 7/10......................
10. 3/3......................
Nitayachukua madaftari kesho
Emotions are the greatest enemy of rational arguments