A: Chagua Jibu Sahihi
1. a. mama yangu
2. b. gari nzuri
3. b. neno mbaya
4. b. nguo ndogo
5. a. jina refu
B: Zifuatazo ni fasiri za nahau. Andika nahau zenyewe.
Mfano: Kufa…….kuaga dunia
a. kupata shida /tabu ..kuteseka...............
b. kufanya uamuzi ...kuamuua..............
c. kurukwa na akili .kuwa mwenda wazimu................
d. kufungwa jela ..kuwekwa korokoroni...............
e. kunyongwa ..kutolewa uhai...............
C. Methali za Kiswahili
a. adhihakiye kovu hajaona..maovu....................
b. bora kujikwa kidole kuliko .kujikwa ulimi................
c. mhini na mhiniwa ..jia yao ni moja............................
d. mgomba changaraweni ..haumei....................
e. mtego bila chambo...hautegi...........................
"say what u mean, mean what u say, but don't say it mean."