"Nyina wa Hazel" Gold Member

| quote: Inaonekana Kiswahili kimewashinda jameni. hata Ndali yangu Wakanyugi alishindwa kabisa, mpaka hakudhubutu kujaribu
Woi mwalimu siku hizi simo kwa mtandao kama nilivyokuwa hapo awali..ndiposa si kuufanya mtihani..lakini huo mwingine lazima ta tia bidii ya mchwa. |
| | |
Silver Member
| quote: Originally posted by kariúki wa kíhia: 2/3 theluthi mbili 3/4 robo tatu 4/5 Humusi Nne 3/6 Sudusu tatu 4/7 sehemu nne za saba 7/8 Thumuni saba 5/9 Tisau tano 2/10 sehemu mbili za kumi-mbili kwa kumi 7/10 Sehemu saba za kumi-saba kwa kumi 3/3 Theluthi tatu
Lo!Ghafla bin ghafla mmenirudisha miaka mingi kweli!Asanteni!
Wakia wakini? Wi muhoro?
|
| | |