"Ithe wa Njeri" Platinum Member

|
Wise mkabush! hiyo paper ya sheng ni ya when? inajaku when? mi niko seti jo na nacheki sajo ndio atachapa ndimanga  u make sure sajo amedo hiyo paper juu yeye huwaga na sheng ingine ya tene tu sana.ah mi naona nikindunga kinambament kijamo, mbugz atandunga namba two halafu wangu ndio atandunga ki defence then sajo atinge chapter jo.
CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
|
| |
|
"Nyina wa Hazel" Gold Member

|
Hehehe Mukabull wazi wazi.  Manze nimeona nijisune ndani ya hii risto!! Leta mtihani mbaya!! Wa Kish vile unajiskia otero tupatane uwanjo...niko ritho pia mimi.
|
| |
|
"Ithe wa Alvin" Silver Member

|
wakihia hutoboi,hii lugha ya mtaa mimi ni mnoma mbaya,lakini tuwache pang'ang'a tungojee huyu muthii altete paper tuone tutakwachu mangapi.Natuweke doo,mthii wa kwanza apewe rwabe,wapili soo na mababi kama wakanyus,na waroro wote wa ubabini wapigwe fineya kavu moja kila mtu juu hawanyiti! Saj ni mzae so najua haezi kutoboa na mavijanaa!twende kazi!
Utarugaga egwatagia nja iina mahiga!
|
| |
| Posts: 902 | Location: nairobi wira:erondoreti kwa mami na baba | Registered: 05 May 2006 |  
IP
|
|
"Ithe wa Njeri" Platinum Member

|
eti sajo ni mzae? zii!huu msee yuko order kwa sheng. naskia alichora thesis ya sheng huko majuu. lakini,hiyo paper naishuku jo. Mkabush sioni akileta paper noma juu naskia kamangu ndio anamhelp kuseti hiyo paper. Ati masonko kama wakanyusi wakaje thao? wakanyusi sio sonko ni vile tu anaishi ma mtaa za vungu.Ahh mclever haezi nyita any, huo msee yuko baya mbovu.
CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
|
| |
|
"Nyina wa Hazel" Gold Member

|
quote: wakanyus,na waroro wote wa ubabini wapigwe fineya kavu moja kila mtu juu hawanyiti!
hahahaha...sitoii kavu moja  ...manze raundi hii nimejitolea hamnitingi!!  ..Mbugus wacha vitisho za pesa nane ongea kitu shua...mengo ya ma otero wa sheng ikamu asa pa!
|
| |
|
"Nyina wa Hazel" Gold Member

|
quote: Ahh mclever haezi nyita any, huo msee yuko baya mbovu
ii sio trudhes...mi najua M cleva atawatinga wacha vile mnajige mbe
|
| |
|
"Ithe wa Njeri" Platinum Member

|
quote: ii sio trudhes...mi najua M cleva atawatinga wacha vile mnajige mbe
haki ya nani m clever ni 'dada'wa sheng.haezi mbotoz. m'clever najua ni pro wa makegi baya, mpaka kuna hii day alichapa gauge ikamshow akipark ndai mtaani atoke ambetez na kichwa. wa wa wa si m'clever aka do vyoi, Lol, maze alikuwa amechapa ma dents kwa kichwa jo 
CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
|
| |
|
"Ithe wa kipii" Silver Member

|
Hii keja ya wasapere inakuwanga na ma panga'ng'a wengi jo! Mtu ka Wa Wambui hu rappa kaa mtu amekunywa ngataa style ya mat  . Hachoki ku rappa maze. Pere pere mingi. Wakihia we humcheki?
|
| |
|
Silver Member

|
quote: Mkabush sioni akileta paper noma juu naskia kamangu ndio anamhelp kuseti hiyo paper.
manze wamakesh hawezani,msapere amezoea kubongesha kila muthii kisap  wawesh relax utauma ma resit ushangae.wakihia pang'ang'a mob tia zi zitakudundisha down vimezesha we time inakam. sajoh vipi hata odijo hudunga ma defence kaa ritho.
MPAKA TWENTY TWOF N BEYOND!!!
|
| |
| Posts: 608 | Location: nyairobi | Registered: 07 March 2007 |  
IP
|
|
Silver Member

|
Enyewe hii risto inanibamba kishenzi.Manzee tungei hiyo paper tucheki kama mabuyu watatoboa.Mi naijua sheng vinoma lakini mabuyu kama wakihia, wawesh,wakanyugi na wengine, jaro zao tuazijua. Watakwachu nunge.
|
| |
|
"Ithe wa Njeri" Platinum Member

|
quote: lakini mabuyu kama wakihia, wawesh,wakanyugi na wengine, jaro zao tuazijua. Watakwachu nunge.
wewe kasavuli wacha kunienjoi. mi si mbuyu. Sheng naimezea vinoma ndio maana hawa ma fans wanadai eti ni ni ma pang'ang'a niko nazo. kwanza huu msee anaitwa wawesh haezi mbotoa. kasavuli, tu bet mapinga?
CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
|
| |
|
"Nyina wa Hazel" Gold Member

|
quote: lakini mabuyu kama wakihia, wawesh,wakanyugi na wengine
Alalala we Kasavuli ..ati umeniita mbuyu na mimi ni mresh!!  chunga sana mzeiya ii hau ni noma naweza kufine juu ya hiyo risto. Sema pole ama nidoo hivyo.
|
| |
|
"ithe wa *Dave n vickie*" Gold Member

|
oya! mimi siumi kitu mbwana ,hii sheng yenu ni nooma sana yataka nyinyi wambaara , sawa ma bratha meni? zale nao,au sio
mbaara ti ucuru!
|
| |
| Posts: 1485 | Location: mombasa,{ithukum]KINANGOP {mucii | Registered: 24 March 2006 |  
IP
|
|
"Ithe wa Njeri" Platinum Member

|
quote: Alalala we Kasavuli ..ati umeniita mbuyu na mimi ni mresh!! chunga sana mzeiya ii hau ni noma naweza kufine juu ya hiyo risto. Sema pole ama nidoo hivyo.
wakanyus, huu msee atoe hiyo mbuzi, niaje akauita mbuyu na venye wewe ni mroro wa power? Kasavo atoe nyam chom na ma kegi juu ya hiyo risto ama niaje wasee?
CONFIDENCE is trying to fart when you are suffering fron diarrhoea ... Robert Mugabe
|
| |
|