Kama angalisema mhenga Emilio;
Mbio za sakafuni huishia ha-po ha-po !
Kuuliza sio ujinga bali ni upuzi
Mgagaa na upwa hali mavi ya kuku
Mbiu ya mgambo ikilia haina maana
Ukistaajabikia ya Musa utakuwa wewe mtu wa aina gani
Kiendacho kwa mganga hakitoshi
Kwa mwanamaji wa Kwale kufa maji ni upumbavu
Baada ya dhiki ni kuji-enjoy
Tafadhali ongezeni.......
May those that love us, love us. And those that don't love us, may God turn their hearts. And if He doesn't turn their hearts, may He turn their ankles so that we'll know them by their limping.